\p \v=45 \v~=Laana hizi zote zitakuja juu yako. Zitakufuatia na kukupata mpaka uangamizwe, kwa sababu hukumtii \nd Bwana\nd* Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake aliyokupa. \¬v