\v=52 \v~=Nao wataizingira miji yote katika nchi yako mpaka kuta ndefu za ngome ambazo unazitegemea zimeanguka. Watazingira miji yote katika nchi ambayo \nd Bwana\nd* Mungu wako anakupa. \¬v \¬p