\v=59 \v~=\nd Bwana\nd* ataleta mapigo ya kutisha juu yako na kwa wazao wako, maafa makali na ya kudumu, magonjwa mazito na ya kudumu. \¬v