\v=63 \v~=Kama ilivyompendeza \nd Bwana\nd* kuwafanya ninyi mstawi na kuongezeka kwa idadi, ndivyo itakavyompendeza kuwaharibu na kuwaangamiza ninyi. Mtangʼolewa kutoka nchi mnayoiingia kuimiliki. \¬v \¬p