\p \v=7 \v~=\nd Bwana\nd* atasababisha adui wainukao dhidi yako kushindwa mbele yako. Watakujia kwa njia moja lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba. \¬v \¬p