\p \v=8 \v~=\nd Bwana\nd* ataagiza baraka juu ya ghala zako na juu ya kila kitu utakachogusa kwa mkono wako. \nd Bwana\nd* Mungu wako atakubariki katika nchi anayokupa. \¬v \¬p