\p \v=9 \v~=\nd Bwana\nd* atakufanya kuwa taifa lake takatifu, kama alivyokuahidi kwa kiapo, kama ukishika maagizo ya \nd Bwana\nd* Mungu wako na kwenda katika njia zake. \¬v