\v=10 \v~=Ninyi nyote leo mnasimama mbele za \nd Bwana\nd* Mungu wenu; mkiwa viongozi na wakuu wenu, wazee na maafisa wenu, na wanaume wengine wote wa Israeli, \¬v