\v=20 \v~=\nd Bwana\nd* kamwe hatakuwa radhi kumsamehe, ghadhabu na wivu wa Mungu vitawaka dhidi ya mtu huyo. Laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki zitamwangukia na \nd Bwana\nd* atafuta jina lake chini ya mbingu. \¬v