\p \v=22 \v~=Watoto wako watakaofuata baada yako katika vizazi vya baadaye na wageni ambao watakuja kutoka nchi za mbali, wataona maafa, yaliyoipata nchi na magonjwa ambayo \nd Bwana\nd* aliyaleta juu yake. \¬v