\v=24 \v~=Mataifa yote yatauliza: “Kwa nini \nd Bwana\nd* amefanya hivi juu ya nchi hii? Kwa nini hasira hii kali ikawaka?” \¬v \¬p