\p \v=25 \v~=Na jibu litakuwa: “Ni kwa sababu watu hawa waliacha Agano la \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zao, Agano alilofanya nao wakati alipowatoa katika nchi ya Misri. \¬v