\v=12 \v~=Wahori waliishi Seiri, lakini wazao wa Esau waliwafukuza. Waliwaangamiza Wahori na kukaa mahali pao, kama Waisraeli walivyofanya katika nchi ambayo \nd Bwana\nd* aliwapa kama milki yao.) \¬v \¬p