\v=30 \v~=Lakini Sihoni mfalme wa Heshboni alikataa kuturuhusu kupita. Kwa kuwa \nd Bwana\nd* Mungu wako alikuwa ameifanya roho yake kuwa ngumu na moyo wake kuwa mkaidi ili amweke kwenye mikono yenu, kama alivyofanya sasa. \¬v \¬p