\p \v=31 \v~=\nd Bwana\nd* akaniambia, “Tazama, nimeanza kuwapa Mfalme Sihoni na nchi yake kwako. Sasa anzeni kuishinda na kuimiliki nchi yake.” \¬v \¬p