\v=33 \v~=\nd Bwana\nd* Mungu wetu alimweka mikononi mwetu, nasi tukamwangamiza pamoja na wanawe na jeshi lake lote. \¬v