\v=37 \v~=Lakini kulingana na amri ya \nd Bwana\nd* Mungu wetu, hamkujiingiza katika nchi yoyote ya Waamoni, wala katika sehemu yoyote iliyo kandokando ya Mto Yaboki, wala katika miji iliyoko katika vilima. \¬v \¬p \¬c