\p \v=7 \v~=\nd Bwana\nd* Mungu wenu amewabariki kwa kazi yote ya mikono yenu. Amewalinda katika safari yenu katikati ya jangwa hili kubwa. Kwa miaka hii arobaini \nd Bwana\nd* Mungu wenu amekuwa pamoja nanyi, na hamkupungukiwa na kitu chochote. \¬v \¬p