\v=10 \v~=kama ukimtii \nd Bwana\nd* Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake ambayo yameandikwa katika Kitabu hiki cha Sheria, na kumgeukia \nd Bwana\nd* Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote. \¬v \¬p