\v=16 \v~=Ninakuamuru leo kwamba umpende \nd Bwana\nd* Mungu wako, utembee katika njia zake, na kutunza maagizo yake, amri na sheria zake; ndipo utakapoishi na kuongezeka, naye \nd Bwana\nd* Mungu wako atakubariki katika nchi unayoingia kuimiliki. \¬v \¬p