\v=20 \v~=na ili upate kumpenda \nd Bwana\nd* Mungu wako, uisikilize sauti yake na kuambatana naye. Kwa kuwa \nd Bwana\nd* ndiye uzima wako, na atakupa wingi wa siku ili upate kuishi katika nchi aliyoapa kuwapa baba zako Abrahamu, Isaki na Yakobo. \¬v \¬p \¬c