\v=3 \v~=ndipo \nd Bwana\nd* Mungu wako atakapokurudisha kutoka utumwani na kukuhurumia, naye atakukusanya tena kutoka mataifa yote kule alikutawanya. \¬v