\v=9 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* Mungu wako atakapokufanikisha sana katika kazi zote za mikono yako na katika uzao wa tumbo lako, wadogo wa mifugo yako na mazao ya nchi yako. \nd Bwana\nd* atakufurahia tena na kukufanikisha, kama alivyowafurahia baba zako, \¬v