\v=13 \v~=Watoto wao, ambao hawaijui sheria hii, lazima waisikie na kujifunza kumcha \nd Bwana\nd* Mungu wenu kwa muda mtakaoishi katika nchi mnayovuka Yordani kuimiliki.” \¬v \¬p