\p \v=19 \v~=“Sasa ujiandikie wimbo huu,\f + \fr 31:19 \ft Wimbo huu hapa ina maana wimbo wa Mose.\f* uwafundishe Waisraeli na uwaamuru wauimbe, ili upate kuwa ushahidi wangu dhidi yao. \¬v