\v=26 \v~=“Chukueni Kitabu hiki cha Sheria mkakiweke kando ya Sanduku la Agano la \nd Bwana\nd* Mungu wenu. Hapo ndipo kitakapokaa kama shahidi dhidi yenu. \¬v