\v=4 \v~=Naye \nd Bwana\nd* atawafanyia watu hao kile alichowafanyia Sihoni na Ogu, wafalme wa Waamori, ambao aliwaangamiza pamoja na nchi yao. \¬v