\p \v=7 \v~=Kisha Mose akamwita Yoshua na akamwambia mbele ya Israeli wote, “Uwe imara na moyo wa ushujaa, kwa kuwa ni lazima uende na watu hawa katika nchi ile \nd Bwana\nd* aliyowaapia baba zao kuwapa, nawe ni lazima uwagawie kama urithi wao. \¬v