\v=11 \v~=aliyetenda ishara zote zile za miujiza na maajabu ambayo \nd Bwana\nd* alimtuma kuyatenda huko Misri, yaani kwa Farao na maafisa wake wote na nchi yake yote. \¬v