\p \v=9 \v~=Basi Yoshua mwana wa Nuni alijazwa roho ya hekima kwa sababu Mose alikuwa ameweka mikono yake juu yake. Kwa hiyo Waisraeli wakamsikiliza na wakafanya yale ambayo \nd Bwana\nd* alikuwa amemwagiza Mose. \¬v \¬p