\v=11 \v~=(Mfalme Ogu wa Bashani ndiye peke yake aliyesalia miongoni mwa mabaki ya Warefai. Kitanda chake kilikuwa cha chuma chenye urefu wa dhiraa tisa\f + \fr 3:11 \ft Dhiraa tisa ni sawa na mita 4.\f* na upana wa dhiraa nne.\f + \fr 3:11 \ft Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8.\f* Mpaka sasa kinaweza kuonekana katika mji wa Waamoni wa Raba.) \¬v \¬p