\p \v=3 \v~=Hivyo \nd Bwana\nd* Mungu wetu pia akamweka Ogu mfalme wa Bashani pamoja na jeshi lake lote mikononi mwetu. Tuliwaangamiza wote, hakubakia hata mmoja. \¬v