\v=12 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* alipozungumza nanyi kutoka moto. Mkasikia sauti ya maneno lakini hamkuona umbo, kulikuwa na sauti tu. \¬v