\v=19 \v~=Na utazamapo juu angani na ukaliona jua, mwezi na nyota na vyote vinavyoipamba mbingu, usije ukashawishiwa kuviinamia na kuviabudu vile ambavyo \nd Bwana\nd* Mungu wenu alivyogawia mataifa yote chini ya mbingu. \¬v