\v=20 \v~=Lakini kwenu ninyi, \nd Bwana\nd* amewatoa kutoka kwenye tanuru ya kuyeyushia chuma, katika Misri kuwa watu wa urithi wake kama mlivyo sasa. \¬v \¬p