\v=23 \v~=Jihadharini msilisahau Agano la \nd Bwana\nd* Mungu wenu lile alilofanya nanyi; msijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote ambacho \nd Bwana\nd* Mungu wenu amewakataza. \¬v