\p \v=25 \v~=Baada ya kuwa na watoto na wajukuu na kuishi katika nchi hiyo siku nyingi, tena kama mkijichafua na kutengeneza sanamu ya aina yoyote, mkifanya maovu machoni pa \nd Bwana\nd* Mungu wenu na kumfanya awe na hasira, \¬v