\v=27 \v~=\nd Bwana\nd* atawatawanya miongoni mwa mataifa, na ni wachache wenu tu watakaosalia miongoni mwa mataifa hayo ambayo \nd Bwana\nd* atawafukuzia. \¬v