\v=29 \v~=Lakini kama mtamtafuta \nd Bwana\nd* Mungu wenu, mtampata; kama mtamtafuta kwa moyo wenu wote na kwa roho yote. \¬v