\p \v=3 \v~=Mliona kwa macho yenu wenyewe kile \nd Bwana\nd* alichokifanya kule Baal-Peori. \nd Bwana\nd* Mungu wenu aliwaangamiza kutoka miongoni mwenu kila mmoja aliyemfuata Baali wa Peori, \¬v