\v=31 \v~=Kwa maana \nd Bwana\nd* Mungu wenu ni Mungu mwenye huruma, hatawaacha au kuwaangamiza wala kusahau Agano alilofanya na baba zenu, alilowathibitishia kwa kiapo. \¬v \¬p