\v=40 \v~=Mshike amri na maagizo yake ninayowapa leo, ili mpate kufanikiwa ninyi na watoto wenu baada yenu, na mpate kuishi maisha marefu katika nchi awapayo \nd Bwana\nd* Mungu wenu siku zote. \¬v \¬p