\p \v=5 \v~=Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama \nd Bwana\nd* Mungu wangu alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki. \¬v