\v=15 \v~=Kumbuka mlikuwa watumwa huko Misri, na \nd Bwana\nd* Mungu wenu aliwatoa huko kwa mkono wenye nguvu na kwa mkono ulionyooshwa. Kwa hiyo \nd Bwana\nd* Mungu wako amekuagiza kuiadhimisha siku ya Sabato. \¬v \¬li1