\p \v=22 \v~=Hizi ndizo amri alizozitangaza \nd Bwana\nd* kwa sauti kubwa kwa kusanyiko lenu lote huko mlimani kutoka kwenye moto, wingu na giza nene, wala hakuongeza chochote zaidi. Kisha akaziandika juu ya vibao viwili vya mawe, naye akanipa mimi. \¬v \¬p