\p \v=28 \v~=\nd Bwana\nd* aliwasikia wakati mlipozungumza nami, na \nd Bwana\nd* akaniambia, “Nimesikia kile hawa watu walichokuambia. Kila kitu walichokisema ni kizuri. \¬v