\v=33 \v~=Fuateni yale yote ambayo \nd Bwana\nd* Mungu wenu aliwaagiza, ili mpate kuishi, kustawi na kuziongeza siku zenu katika nchi mtakayoimiliki. \¬v \¬p \¬c