\p \v=13 \v~=Utamcha \nd Bwana\nd* Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake. \¬v