\v=15 \v~=kwa kuwa \nd Bwana\nd* Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka uso wa nchi. \¬v