\v=17 \v~=Utayashika maagizo ya \nd Bwana\nd* Mungu wako kwa bidii, na masharti na amri alizokupa. \¬v